Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 31 Januari 2025
Published 1 year, 5 months ago
Description
Serikali ya shirikisho na Victoria zime tia saini mkataba wa uwekezaji wenye thamani ya dola bilioni $2.5 kwa elimu, ambayo serikali hizo zime sema uwekezaji huo utawasaidia wanafunzi, wafanyakazi pamoja na familia.