Episode Details
Back to EpisodesRwanda yatangaza imepata mafuta katika ziwa Kivu
Published 1 year, 5 months ago
Description
Rwanda imesema Jumatano kuwa imefanya ugunduzi wa mafuta katika Ziwa Kivu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika nchi isiyo na bahari katika eneo la Maziwa Makuu, kulingana na vyombo vya habari vya ndani.