Episode Details
Back to EpisodesRais Tshisekedi awarai vijana wajiunge na jeshi kupambana na M23
Published 1 year, 5 months ago
Description
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, amewarai vijana kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa kusaidia kupambana na waasi wa M23 wanaojaribu kukamata maeneo makubwa zaidi mashariki mwa nchi hiyo.