Episode Details
Back to EpisodesJaguar "Tunaomba nchi jirani zisaidie kutafuta amani na usalama DRC"
Published 1 year, 5 months ago
Description
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 kuingia mjini humo.