Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 20 Juni 2025
Australia imesimamisha oparesheni katika ubalozi wake katika mji mkuu wa Iran, nakuamuru kuondoka kwa maafisa wote wa Australia kwa sababu yakudorora…
1 year ago
Jinsi bima ya nyumba na vilivyomo hufanya kazi nchini Australia
Haipendezi kufikiria kuhusu matukio yanayo weka nyumba na mali yako hatarini, ila haviko kawaida.
1 year ago
Taarifa ya Habari 19 Juni 2025
Ulaya imechukua nafasi yaku fanya mashauriano na Iran, mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ujerumain na Ufaransa wanazungumza na mshirika wao kuto…
1 year ago
Wakimbizi wafunga magoli na kujenga madaraja
Wachezaji wa soka katika mashindano mjini Perth, wanafanya mengi zaidi yakufunga magoli, wanajenga madaraja kati ya jamii naku mulika nguvu ya jamii …
1 year ago
Taarifa ya Habari 17 Juni 2025
Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mikutano na rais mpya wa Korea Kusini, pamoja na katibu mkuu wa NATO pembezoni mwa mkutano wa G7.
1 year ago
Vyombo vya habari hufanyaje kazi nchini Australia?
Uhuru wa vyombo vya habari na vyombo vya habari tofauti ni alama muhimu ya afya nzuri ya demokrasia ambako raia na waandishi wa habari wana mamkalaka…
1 year ago
Taarifa ya Habari 16 Juni 2025
Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema mazungumzo kati yake na mshiriki wake kutoka Canada katika mkutano wa G7, ilikuwa fursa yaku imarisha tena uhus…
1 year ago
Socceroos wafuzu kucheza katika Kombe la Dunia baada ya kuishinda Saudi Arabia
Wiki hii timu ya mpira wa miguu ya taifa Socceroos, ili fuzu kwa Kombe la Dunia tena baada yakupata ushindi dhidi wenyeji wao Saudi Arabia.
1 year ago
Taarifa ya Habari 13 Juni 2025
Balozi wa zamani wa Australia nchini Marekani, Arthur Sinodinos, amesema mkataba wa AUKUS unastahili kuwa kipaumbele kikuu katika mkutano kati ya Waz…
1 year ago
Jinsi ya kuepuka ulaghai wa mapenzi nchini Australia
Mwaka jana pekee, zaidi ya kesi 3200 za ulaghai wa mapenzi zili ripotiwa nawa Australia.
1 year, 1 month ago