Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 30 Juni 2025
Anthony Albanese amesema Australia haita ongeza matumizi yake ya ulinzi mwezi wa Aprili ijayo kama sehemu ya mkakati wa ulinzi wa taifa, baada ya wit…
1 year ago
Wakenya waingia debeni jimboni Victoria
Wanachama wa Jumuiya yawa Kenya wanao ishi Victoria (KCV), wanashiriki katika uchaguzi wa bodi mpya ya viongozi wao.
1 year ago
Taarifa ya Habari 27 Juni 2025
Waziri Mkuu wa Anthony Albanese ametetea msimamo wa serikali kwa matumizi ya ulinzi, nakutupilia mbali wito kutoka utawala wa Trump kuongeza matumizi…
1 year ago
Australia ya Fafanuliwa: Mwongozo wako wa safari za theluji nchini Australia
Unapenda theluji kiasi gani? Au ume wahi iona?
1 year ago
Taarifa ya Habari 26 Juni 2025
Waziri wa fedha wa shirikisho Katy Gallagher ametetea bajeti ya ulinzi ya Australia, wakati kuna shinikizo kutoka humu ndani na kutoka ng’ambo.
1 year ago
SBS Learn Eng Ep 39 Jinsi yakufanya marejesho yako ya ushuru
Je, unajua jinsi yakufanya marejesho ya ushuru?
1 year ago
Shariff "vijana tuongeze bidii katika shughuli zetu, tusitegemee wanasiasa"
Neno goons lina sifa mbaya katika jamii, haswa kwa vijana wengi ambao hu husishwa na maswala yanayo enda kinyume na sheria na maadili mazuri.
1 year ago
Taarifa ya Habari 24 Juni 2025
Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia imesimamisha uhamishaji kwa mabasi kutoka Israel, kufuatia shambulizi la Marekani katika vifaa vy…
1 year ago
SBS Learn Eng Ep19 Jinsi ya kupanda Bustani na mimea | Bustani za jamii
Je, unajua jinsi ya kuzunguza kuhusu jinsi yakupanda bustani ya jamii na miema?
1 year ago
Amy alidhani amepata kazi kama mwanafunzi wa kimataifa- alikuwa amekosea
Tangu 2024, serikali ya shirikisho imezindua sera kadhaa zaku zuia idadi ya wanafunzi wakimataifa, pamoja naku ongeza ada ya maombi ya viza ya wanafu…
1 year ago