Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya habari 10 Julai 2025
Kiongozi wa Tasmania wa chama cha Liberal anatarajiwa kuitisha rasmi uchaguzi wa mapema hii leo, hatua itakayo rejesha jimbo hilo la kisiwa katika uc…
1 year, 1 month ago
Miaka 50 ya SBS- Waandishi wa habari waelezea nyakatu muhimu
SBS ina sherehekea miaka 50.
1 year, 1 month ago
Zambia ya mpoteza Rais mstaafu Edgar Lungu
Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amefariki akiwa na umri wa miaka 68.
1 year, 1 month ago
Taarifa ya Habari 6 Juni 2025
Bunge ya Tasmania yapitisha kura yakutokuwa na imani kwa kiongozi wa jimbo hilo Jeremy Rockliff. Mswada huo ulio wasilishwa na kiongozi wa chama cha …
1 year, 1 month ago
Australia Yafafanuliwa: Unaweza zingatia kumteua mtu kwa tuzo ya Order of Australia?
Unajua mtu anaye toa mchango usio wa kawaida katika jamii? Anaweza kuwa mtu kutoka mazingira yoyote, au mwenye taaluma yoyote.
1 year, 1 month ago
Taarifa ya Habari 5 Juni 2025
Marekani imetumia kura yake ya turufu dhidi ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, lililo kuwa likiomba kusitishwa kwa vita pamoja na mi…
1 year, 1 month ago
Wito watolewa kwa hatua ya ziada kuchukuliwa kushughulikia gharama ya janga yaki asili
Uchambuzi mpya wa hazina ume onesha gharama ya Kimbunga Alfred na mafuriko mengine katika majimbo ya New South Wales na Queensland imefika takriban $…
1 year, 1 month ago
Taarifa ya Habari 3 Juni 2025
Seneta Dorinda Cox wa Magharibi Australia ametangaza anahama kutoka chama cha Greens, na atakuwa Seneta wa chama cha Labor hii leo Juni 3.
1 year, 1 month ago
Who are the Stolen Generations? - Vizazi vilivyo ibiwa ni kina nani?
Australia has a dark chapter of history that many are still learning about. Following European settlement, Aboriginal and Torres Strait Islander chil…
1 year, 1 month ago
Taarifa ya Habari 30 Mei 2025
Wakati inaweza chukua zaidi ya mwaka kwa baadhi ya madai ya bima ya mafuriko kutatuliwa, malipo ya mara moja kwa walio athirika jimboni New South Wal…
1 year, 1 month ago