Podcast Episodes

Back to Search
Warudiana tena: mkataba mpya wa upinzani wa mseto baada ya siku nane zaku achana

Siku nane baada ya upinzani wa mseto kuachana, vyama vya Liberal na Nationals vime tangaza kuwa vime rudiana tena.

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 27 Mei 2025

Idadi ya nyumba zilizo haribika kabisa katika mafuriko jimboni New South Wales imeongezeka mara mbili nakufika takriban 800. Huduma ya dharura ya jim…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Tafakari, na wito wakuchukua hatua, katika siku ya Kitaifa yakusema Pole

Matukio yame fanyika kote nchini Kuadhimisha Siku ya Kitaifa yakuomba msamaha 26 Mei, hatua ambayo ni kukiri kuondolewa kwa lazima kwa watoto wa Mata…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 26 Mei 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema hatua ya Israel kuzuia msaada “hai kubaliki kabisa”. Israel ina ruhusu msaada mdogo wakibinadam kuingia Gaza, ba…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
UNHCR yaomba msaada kwa wakimbizi wa Sudan Kusini walio DRC

Ukosefu wa vyakula na bidhaa zingine muhimu, umelazimisha UNHCR kuomba msaada wa dharura kwa wakimbizi wenye asili ya Sudan Kusini, walio kimbilia DR…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 22 Mei 2025

Kiongozi wa New South Wales, Chris Minns, amesema rasilimali za ziada zinatolewa kwa jumuiya ambazo zime athiriwa kwa mafuriko, katika eneo la kati y…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
SBS Learn Eng pod 84 Jinsi ya kuelezea uwezo wako waku kimbia (Med)

Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako za kukimbia au kufanya riadha?

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Jinsi ya kufurahia maeneo ya nyika ya Australia kwa kuwajibika

Mandhari yakupendaza na tofauti ya Australia, kuanzia pwani hadi jangwani na yote yaliyo katikati, ni nyumbani kwa mimea ya asili na wanyama wakushan…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 20 Mei 2025

Jimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Juma…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Watu wakujitolea wana jukumu kubwa nchini Australia, ila idadi yao inapungua

Wiki ya kitaifa yakujitolea ime anza, ita kuwa kuanzia 19 Mei hadi 25 Mei 2025.

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us