Podcast Episodes

Back to Search
Taarifa ya Habari 16 Mei 2025

Kiongozi wa Upinzani wa Shirikisho Sussan Ley, amesema kuungana tenana wanawake itakuwa kipaumbele chake kama kiongozi wa Upinzani wa shirikisho.

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Jeremiah "wahafidhina wanastahili acha kutumia Biblia kutafuta kura zetu"

Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za ucha…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 13 Mei 2025

Sussan Ley ame chaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Liberal. Bi Ley alikuwa Naibu Kiongozi wa chama hicho cha Liberal, alimshinda mpinzani wake mweka…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje?

Tanya Plibersek ame shushwa cheo nakupewa wizara ya Huduma za Jamii, wakati Anthony Albanese anatangaza baraza lake la mawaziri, atakao fanya kazi na…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 9 Mei 2025

Anthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku …

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest

Adam Bandt amekubali ameshindwa nakupoteza kiti chake cha Melbourne bungeni, katika matokeo ambayo yame acha chama cha Greens bila kiongozi.

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 8 Mei 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema mtazamo wa mhula wa pili wa serikali ya Labor, utakuwa kuimarisha mahusiano na washiriki walio ng’ambo, kuhakiki…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Betty afunguka kuhusu jinsi yaku badilisha viza yako ukiwa Australia

Wanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Chama cha Greens cha kabiliana na matokeo yakukatisha moyo katika uchaguzi wa shirikisho

Chama cha Greens kina onekana kuwa na viti vichache zaidi ndani ya nyumba ya chini baada ya matokeo ya uchaguzi wa shirikisho wa wikendi iliyo pita i…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 6 Mei 2025

Anthony Albanese ata anza muhula wake wa pili kama Waziri Mkuu akiwa na serikali ya wengi, baada ya ushindi mkubwa wa chama cha Labor, chama chake ki…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us