Episode Details
Back to EpisodesJeremiah "wahafidhina wanastahili acha kutumia Biblia kutafuta kura zetu"
Published 1 year, 1 month ago
Description
Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.