Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 15 Aprili 2025
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali madai kuwa sera ya nyumba ya chama chake, ita ongeza bei za nyumba.
1 year, 2 months ago
Msamaha wa Rais Tshisekedi kwa wafungwa wafanya raia wa Rubero kuishi kwa wasiwasi
Raia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru.
1 year, 2 months ago
Taarifa ya Habari 11 Aprili 2025
Waziri Mkuu amekabiliana na maswali kuhusu uwezekano wa mkataba wa manowari ya Australia na Marekani pamoja na Uingereza, kufuatia utoaji wa ushuru w…
1 year, 3 months ago
Zaidi ya vitabu: Jinsi maktaba hujenga jumuiya
Maktba za umma za Australia ni mahali maalum. Ndio, huwa zina kuruhusu ukope vitabu bure ila pia, zina toa utajiri wa miradi na huduma, bure pia na h…
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 10 Aprili 2025
Uamuzi wa Donald Trump kuregeza ushuru kwa nchi kadhaa, hauta athiri moja kwa moja Australia ila, uamuzi huo unaweza fungua mlango kwa mazungumzo ya …
1 year, 3 months ago
SBS Learn Eng pod 68 Kujadili taarifa za habari
Je, unajua namna ya kufanya majadiliano kuhusu taarifa za habari?
1 year, 3 months ago
Sean MMG "mitandao yaki jamii imefanya iwe rahisi kwa vijana kama sisi kutokea katika muziki"
Wasanii maarufu kutoka Kenya; Sean MMG, Ssaru na Tipsy Gee walitembelea studio yet hivi karibuni wakati wa ziara yao ya Australia.
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 8 Aprili 2025
Serikali ya Albanese imesema uwekezaji wa serikali wa $1 bilioni moja inatambua pengo muhimu la wafanyakazi katika huduma ya afya ya akili inayo stah…
1 year, 3 months ago
Uchaguzi Mkuu 2025: Dutton afuta sera yakumaliza mpangilio wakufanyia kazi nyumbani
Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton, ame tupa nje mpango wake waku walazimisha wafanyakazi wa umma kurejea ofisini aki kiri sera hiyo ili…
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 7 Aprili 2025
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema serikali ya shirikisho ina wasiwasi kuhusu athari za msukosuko wa kifedha, kufuatia ushuru wa marekani ulio tang…
1 year, 3 months ago