Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 10 Aprili 2025
Published 1 year, 3 months ago
Description
Uamuzi wa Donald Trump kuregeza ushuru kwa nchi kadhaa, hauta athiri moja kwa moja Australia ila, uamuzi huo unaweza fungua mlango kwa mazungumzo ya ziada na marekani.