Podcast Episodes

Back to Search
Umaskini wa nishati

Maelfu ya kaya za Wenyeji kaskazini mwa Australia wanaishi na mfumo wa kulipa kabla wa umeme, ambapo kukatwa kunaweza kutokea wakati wowote. Ripoti m…

11 months, 4 weeks ago

Short Long
View Episode
Hali ya hewa inawaathiri pinguini

Timu ya kimataifa ya wanasayansi imeonya kuwa pIngwini wanaweza kuwa katika hatari kutokana na madhara ya hali mbaya ya hewa. Utafiti mpya unapendeke…

11 months, 4 weeks ago

Short Long
View Episode
Mzio wa karanga kwa watoto upata mwelekeo mpya

Miaka kumi baada ya utafiti muhimu kudhibitisha kwamba kuwalisha watoto wachanga bidhaa za karanga inaweza kuendeleza mzio hatari, utafiti mpya umeba…

1 year ago

Short Long
View Episode
Serikali kudhibitisha umuhimu wa wahamiaji kwenye uchumi

Waziri wa Mambo ya Ndani, Tony Burke, anasema kwamba serikali inafanya kazi juu ya uwezekano wa kutambua ujuzi wa nje ya nchi. Anasema hii itasaidia …

1 year ago

Short Long
View Episode
Understanding treaty in Australia: What First Nations people want you to know - Mkataba wa amani: Una maana gani na Una manufaa gani

Australia is home to the world’s oldest living cultures, yet remains one of the few countries without a national treaty recognising its First Peoples…

1 year ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 26 Septemba 2025

Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia ina simama kidete juu ya tamaduni nyingi, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kukosoa uhamiaji…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 23 Septemba 2025

Waziri Mkuu amesema ombi la utaifa wa Palestina ni fursa ya amani, katika hotuba yake kuhusu soluhu ya nchi mbili, alipo hudhuria kikao cha Umoja wa …

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Serikali ya shirikisho yazungumza kwa ukali baada ya kupotea kwa huduma ya simu ya dharura ya Optus

Waziri wa Shirikisho wa Mawasiliano amesema Optus inastahili tarajia adhabu kubwa, kufuatia kupotea kwa huduma ya namba ya dharura ya 000, hali ambay…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Kamerhe chini ya shinikizo kuondolewa kama spika wa bunge la DRC

Taratibu zinazolenga kumfuta kazi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Vital Kamerhe zinaendelea huku kukishuhudiwa hali ya mfarakano …

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 19 Septemba 2025

Kampuni ya pili kwa ukubwa ya madini imetangaza inapunguza ajira. Anglo American Australia imesema ita angaza kupunguza idadi ya wafanyakazi Queensla…

1 year, 1 month ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us