Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 21 Machi 2025
Onyo kuu la marufiko limetolewa kwa jumuiya za Kaskazini Queensland, karibu ya Lower Herbert River. Kiwango cha maji kimepita kiwango cha mafuriko ch…
1 year, 3 months ago
Islamophobia in everyday life - Kunyanyaswa kwa wa Islamu katika maisha ya kila siku
Against the backdrop of the Israel-Hamas war, incidents of Islamophobia in Australia have surged – whether verbal, physical or online. What's the las…
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 18 Machi 2025
Shinikizo lakisiasa lina ongezeka kwa chama cha Labor kiache makubaliano ya AUKUS, ambayo kupitia makubaliano hayo Australia inafaa pata manowari ya …
1 year, 3 months ago
Utofauti wa Lugha za Mataifa ya Kwanza
Mtu yeyote mgeni nchini Australia anaweza fahamu umuhimu waku weka hai lugha yako ya mama. Lugha ni muhimu kwa utamaduni wako na lugha za asili za Au…
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 17 Machi 2025
Waziri Mkuu na kiongozi wa zamani wa chama cha Liberals Malcolm Turnbull, amesema hadhani Australia inastahili endelea mbele na ushirikiano wa AUKUS,…
1 year, 3 months ago
Matt Gitau "wakati wakuongoza kulingana na katiba na matumaini yawa Kenya umefika"
Wakenya wana endelea kukabiliana na uongozi mpya wa mseto kati ya serikali ya Kenya Kwanza na chama kikuu cha upinzani cha Orange Democratic Movement…
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 14 Machi 2025
Wauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni h…
1 year, 3 months ago
Want to help shape Australia’s future? Here’s how to enrol to vote - Unataka saidia kuunda mustakabali wa Australia? Hivi ndivyo unaweza jiandikisha kupiga kura
With another federal election due this year, there are steps you will need to take before casting your vote for the first time. Plenty of resources a…
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 13 Machi 2025
Ripoti mpya ya Chuo cha Monash imeonesha matukio ya unyanyasaji dhidi yawa Islamu wa Australia, yali ongezeka zaidi ya mara mbili kati ya Januari 202…
1 year, 3 months ago
Matt Gitau "Jumamosi itakuwa fursa nzuri yakutafuta majibu ya changamoto zinazo tukumba"
Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, New South Wales imekabiliana na taarifa baada ya nyingine yaku sikitisha katika siku za hivi karibuni.
1 year, 3 months ago