Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 14 Machi 2025
Published 1 year, 3 months ago
Description
Wauguzi na wakunga wanaomba mageuzi ya udhibiti yatakayo waruhusu kuagiza vipimo vya uchunguzi, kutoa rufaa kwa watalaam na kuagiza dawa fulani. Ni hatua mashirika ya kilele yamesema itapunguza muda wakusubiri nakupiga jeki matokeo ya huduma ya afya.