Podcast Episodes
Back to SearchUchaguzi wa shirikisho wa Australia kufanywa 3 Mei 2025
Tarehe ya uchaguzi wa shirikisho wa 2025 ime tangazwa. Tangazo hilo lina maana gani? Na unastahili fanya nini sasa?
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 28 Machi 2025
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametangaza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu itakuwa 3 Mei 2025. Bw Albanese ali muarifu Gavana Mkuu Samantha Mostyn, nia yak…
1 year, 3 months ago
Wapatanishi wa EAC na SADC waongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa DRC
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, wameongeza kasi ya kujaribu kusuluhisha mzozo wa mashariki mwa nchi ya DRC.
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 27 Machi 2025
Msemaji wa maswala ya hazina katika Upinzani amethibitisha kuwa Upinzani wa Mseto, utafuta makato ya ushuru ya Labor, upinzani ukishinda uchaguzi mku…
1 year, 3 months ago
Future "tunataka serikali ya Australia isaidie kuleta suluhu ya amani DRC"
Wa Australia wenye asili ya DR Congo, walijumuika mbele ya bunge la taifa mjini Canberra kuandamana dhidi ya vita vinavyo endelea mashariki mwa DR Co…
1 year, 3 months ago
SBS Learn Eng pod Ep 6 Liking disliking Australian desserts
Je, unajua namna yakusema unapenda au haupendi kitu katika Kiingereza?
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 25 Machi 2025
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi Richard Marles, amesema kutakuwa uwekezaji wa ziada katika idara ya Ulinzi wa dola bilioni 1 katika …
1 year, 3 months ago
Bajeti ya 2025: Je, tume andaliwa nini?
Bajeti ya shirikisho inatarajiwa kurejesha nakisi. Haswa uchaguzi mkuu unapo karibia, bajeti hiyo ime mulika nafasi ngumu kuendelea mbele kwa wanao o…
1 year, 3 months ago
Taarifa ya Habari 24 Machi 2025
Serikali ya Labor na Upinzani wana sifu sera zao za Uchumi, kabla ya kutangazwa kwa bajeti ya shirikisho kesho Jumanne 25 Machi.
1 year, 3 months ago
Mark "karibuni Kusini Australia tusherehekee utamaduni wetu"
Wa Kenya wanao ishi Australia, wana elekea mjini Adelaide, Kusini Australia kuhudhuria tamasha ya kila mwaka inayo andaliwa na jumuiya ya Kitwek jimb…
1 year, 3 months ago