Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 16 Septemba 2025
Published 9 months, 3 weeks ago
Description
Naibu Waziri Mkuu Richard Marles amekana madai kuwa uwekezaji wa $12 bilioni iliyo tangazwa juzi ime undwa ili kutuliza maombi ya Marekani kwa Australia kuongeza matumizi yake katika ulinzi.