Episode Details
Back to EpisodesMutamba ahukumiwa kifungo cha kazi ngumu DR Congo
Published 9 months, 3 weeks ago
Description
Waziri wa Sheria wa zamani wa DR Congo, Constant Mutamba amehukumiwa na mahakama mjini Kinshana kufanya kazi ngumu kwa miaka mitatu.