Episode Details
Back to EpisodesIslamophobia in everyday life - Kunyanyaswa kwa wa Islamu katika maisha ya kila siku
Published 1 year, 3 months ago
Description
Against the backdrop of the Israel-Hamas war, incidents of Islamophobia in Australia have surged – whether verbal, physical or online. What's the lasting impact on victims, and what can be done? - Kufuatia vita vya Israel-Hamas, matukio yawa Islamu kunyanyaswa yame ongezeka nchini Australia, iwe kwa maneno, kimwili au mtandaoni. Athari ya kudumu kwa wa athiriwa ni gani, na nini kinaweza fanywa?