Podcast Episodes

Back to Search
Albanese ashinda uchaguzi wa Shirikisho 2025

Chama cha Labor kime shinda uchaguzi wa shirikisho wa 2025 na, kita unda serikali.

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 2 Mei 2025

Uchambuzi mpya umetabiri Upinzani wa mseto utapitia uzoefu mubaya zaidi wa matokeo katika muda wa miaka 80 katika uchaguzi mkuu wa kesho.

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Uchaguzi wa Shirikisho 2025- mazuri, mabaya na maswala ya kukera kutoka wiki tano zilizo pita

Kampeni za uchaguzi wa shirikisho wa 2025 zina karibia tamati.

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
How to vote in the federal election  - Jinsi ya kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho

On election day the Australian Electoral Commission anticipates one million voters to pass through their voting centres every hour. Voting is compuls…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 29 Aprili 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese ana fanya kampeni katika eneo bunge la chama cha Greens la Griffith, chama cha Labor kikiwa na matumaini yakushinda eneo…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 28 Aprili 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese ametumia ziara katika shirika linalo toa makaazi ya jumuiya katika eneo la Central Coast jimboni, New South Wales kutang…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
SBS Learn Eng pod 35 Jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini #2

Je, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako kazini?

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 22 Aprili 2025

Zaidi ya idadi yawa katoliki milioni 5 nchini Australia wana omboleza, kufuatia kifo cha Papa Francis. Imeripotiwa kuwa Papa alifariki akiwa na miaka…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode
Australia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu

Katika mwaka wa 2023, Tume ya Kifalme ilipata kuwa watu wenye ulemavu wali kabiliwa kwa visa vya kubaguliwa nakutengwa, pamoja na vurugu, kunyanyaswa…

1 year, 2 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us