Episode Details
Back to EpisodesAustralia ikoje kwa wahamiaji wenye ulemavu
Published 1 year, 2 months ago
Description
Katika mwaka wa 2023, Tume ya Kifalme ilipata kuwa watu wenye ulemavu wali kabiliwa kwa visa vya kubaguliwa nakutengwa, pamoja na vurugu, kunyanyaswa na, unyonywaji na kupuuzwa.