Episode Details
Back to EpisodesJinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia
Published 1 year, 2 months ago
Description
Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.