Podcast Episodes
Back to SearchTaarifa ya Habari 1 Agosti 2025
Waziri Mkuu Anthony Albanese ana enda kuhudhuria tukio kubwa linalo waleta pamoja wa Australia wa Asili katika wilaya ya Kaskazini.
11 months, 1 week ago
SBS Learn Eng Ep 89 Jinsi yakuzungumza kuhusu nyumba yako
Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?
11 months, 1 week ago
Jinsi yaku anza biashara yako ya nyumbani nchini Australia
Biashara ya nyumbani inaweza sikika kuwa yakuvutia kwa wengi. Ina punguza gharama, inatoa fursa mbali mbali, inafaa taaluma tofauti, na silazima kazi…
11 months, 1 week ago
Taarifa ya Habari 31 Julai 2025
Wanafunzi milioni tatu nchini Australia wata punguziwa deni zao za elimu, hii ni baada ya muswada wa Labor ulio tazamiwa sana kupitishwa bungeni hii …
11 months, 1 week ago
Taarifa ya Habari 29 Julai 2025
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema anaendeleza juhudi zakupunguza shinikizo za gharama ya maisha, akimulika mpango wakupunguza bei za madawa.
11 months, 1 week ago
Je ni bora kuhudumia mtu mwenye ugonjwa wakusahau nyumbani au la?
Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.
11 months, 1 week ago
Muthoni "kuna vitu unaweza fanya kupunguza kasi ya ugonjwa wa dementia"
Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.
11 months, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari 25 Julai 2025
Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, …
11 months, 2 weeks ago
Australia Yafafanuliwa: pengo la elimu yawa Australia wa Asili na njia ya mbele
Elimu ni njia yakupata fursa ila, kwa muda mrefu wanafunzi wa Asili nchini Australia, wame kabiliana na vizuizi vya kupata mafanikio.
11 months, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari 24 Julai 2025
Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, …
11 months, 2 weeks ago