Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 25 Julai 2025
Published 11 months, 2 weeks ago
Description
Australia imefanya makubaliano makubwa na Marekani katika jaribio lakupewa msamaha wa ushuru, kwa kuondoa Marufuku kwa nyama ya Marekani. Hadi sasa, marufuku hiyo ilitumiwa kwa nyama ya ng’ombe walio toka katika nchi za tatu, au ambao asili yao haijulikani.