Podcast Episodes
Back to SearchDr Nadine "Afrika Diaspora Co-operative itatupa fursa za uwekezaji"
Wanachama wa jamii zenye asili ya Afrika wanao ishi jimboni New South Wales, wame ungana kuunda shirika linalo toa fursa za uwekezaji wa muda mrefu.
11 months, 2 weeks ago
SBS Learn Eng Ep 43 Jinsi yakuzungumza kuhusu kusoma na vitabu
Je, unajua jinsi yaku zungumza kuhusu kusoma na vitabu?
11 months, 2 weeks ago
Taarifa ya Habari 22 Julai 2025
Waziri Msaidizi wa Waziri Mkuu amesema serikali iko tayari kuwafanyia kazi wa Australia, katika kikao cha kwanza cha bunge la shirikisho hii leo.
11 months, 2 weeks ago
Msimu mpya wa Bunge wafunguliwa Canberra- kwa wakongwe na wageni
Wanasema siasa hutengeza wenza wa ajabu, na bunge la 48 limejaa wenza hao.
11 months, 2 weeks ago
Rwanda yajipata pabaya katika ripoti ya kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa
Ripoti ya siri ya watalaam wa Umoja wa Mataifa imeishtumu Rwanda kwa kutoa maagizo na kudhibiti shughuli za waasi wa M23.
1 year ago
Taarifa ya Habari 4 Julai 2025
Kamishna wa zamani wa tume yakifalme ame kosoa serikali, kwa kufeli kuchukua hatua haraka kwa mfumo wakitaifa wakufanya ukaguzi kwa ajili yakufanya k…
1 year ago
Jinsi pombe inavyodhibitiwa na kutumiwa nchini Australia
Huenda umesikia kwamba wa Australia ‘ni maarufu kwa kunywa’, haswa wakati wa matukio makubwa ya michezo au katika siku kuu za umma.
1 year ago
Shangwe na furaha ya shuhudiwa jijini Fairfield, NSW
Wanachama wa jumuiya ya DR Congo wanao ishi jimboni NSW, Australia walijumuika kwa sherehe maalum katika uwanja wa Fairfield Park, Fairfield, NSW.
1 year ago
Taarifa ya Habari 1 Julai 2025
Mamia ya wafanyakazi wa huduma za dharura, helikopta na magari yawataalam yako katika hali ya tahadhari wakati kimbunga kina elekea katika maeneo ya …
1 year ago
Uwakilishi wa Mataifa ya Kwanza katika vyombo vya habari: Nini kinabadilika, kwa nini ni muhimu
Uwakilishi wa WaAustralia wa Asili katika vyombo vya habari kihistoria umechangiwa na mila potofu na kutengwa ila, hali hii inabadilika pole pole.
1 year ago