Episode Details
Back to EpisodesUwakilishi wa Mataifa ya Kwanza katika vyombo vya habari: Nini kinabadilika, kwa nini ni muhimu
Published 1 year ago
Description
Uwakilishi wa WaAustralia wa Asili katika vyombo vya habari kihistoria umechangiwa na mila potofu na kutengwa ila, hali hii inabadilika pole pole.