Podcast Episodes

Back to Search
Understand Aboriginal land rights in Australia - Elewa haki za ardhi zawa Aboriginal nchini Australia

You may hear the protest chant, “what do we want? Land rights!” —but what does it really mean? Land is at the heart of Aboriginal and Torres Strait I…

10 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 26 Agosti 2025

Serikali ya Albanese inatarajiwa kuleta mbele mpango wakupanua mfumo unao ruhusu wanao nunua nyumba ya kwanza, kuweka amana ya hadi asilimia tano. Wa…

10 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Elewa haki za Ardhi zawa Aboriginal nchini Australia

Unaweza sikia wito huu katika maandamano, “tuna taka nini? Haki za ardhi!” ila wito huo una maana gani?

10 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Australia kutambua utaifa wa Palestina

Australia ita tambua Palestina kama taifa katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wa Septemba.

10 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 5 Agosti 2025

Waziri wa mambo ya nje Penny Wong ame muhamasisha Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, asikize wito wakisitisha vita mara moja Gaza.

11 months ago

Short Long
View Episode
Tamasha ya Garma yawavutia wageni kutoka Australia na kwingineko

Sherehe ya Garma katika Kijiji cha Kaskazini Mashariki Arnhem Land, cha Wilaya ya Kaskazini, ime tamatika kwa mwaka mwingine.

11 months ago

Short Long
View Episode
SBS Learn Eng Ep 38 Jinsi ya kuzungumza kuhusu muziki

Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu nyumba yako?

11 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 4 Agosti 2025

Serikali ya shirikisho imetangaza msaada kwa Gaza uta ongezwa kwa $20 milioni hii leo Jumatatu 4 Agosti, masaa machache baada yamakumi yama elfu kute…

11 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Kenya, Uganda na Tanzania tayari kwa sherehe ya soka

Wapenzi wa soka barani Afrika wana elekea Kenya, Uganda na Tanzania kuhudhuria michuano ya Afrika iliyo ahirishwa mwaka jana.

11 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Mvutano wakibiashara waibuka kati ya Tanzania na Kenya

Kenya imepinga sheria mpya za biashara na kodi za Tanzania ikizitaja kuwa za kibaguzi na zinazohatarisha ushirikiano wa kiuchumi Afrika Mashariki.

11 months, 1 week ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us