Podcast Episodes

Back to Search
SBS Learn Eng Ep 65 Jinsi yakuzungumza kuhusu michezo ya Olimpiki
SBS Learn Eng Ep 65 Jinsi yakuzungumza kuhusu michezo ya Olimpiki

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

8 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Jamii yawa Islamu nchini katika hali ya tahadhari kubwa
Taarifa ya Habari: Jamii yawa Islamu nchini katika hali ya tahadhari kubwa

Ripoti mpya ya kiuchumi inaonya Australia ina elekea kupoteza hadhi yake, kama taifa lenye deni la chini, huku mikopo ya serikali ikifikia viwango am…

8 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
SBS Learn Eng Ep 103 Namna yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni
SBS Learn Eng Ep 103 Namna yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu kuchumbiana mtandaoni?

8 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Angus Taylor ashinda kura ya uongozi wa upinzani wa shirikisho
Angus Taylor ashinda kura ya uongozi wa upinzani wa shirikisho

Angus Taylor amechukua uongozi wa chama cha Liberal katika kura ya maamuzi ya chama chake kwa ushindi thabiti wa kura 34 dhidi ya 17 zilizotolewa kwa…

8 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Sera ya upinzani yakupiga maarufuku baadhi ya wahamiaji kuingia nchini yazua gumzo
Taarifa ya Habari: Sera ya upinzani yakupiga maarufuku baadhi ya wahamiaji kuingia nchini yazua gumzo

Mbunge wa chama cha One Nation Barnaby Joyce, amesema ni wazi sera ya uhamiaji ya chama chake, ina ungwa mkono na chama cha Liberal, akihoji madai ya…

8 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika: Burundi yapewa nafasi ya uwenyekiti AU
Yaliyojiri Afrika: Burundi yapewa nafasi ya uwenyekiti AU

Kuteuliwa kwa Burundi kuwa mwenyekiti wa umoja wa Afrika, kunatarajiwa kuleta tija katika juhudi zakutatuwa migogoro inayo zikabili baadhi ya nchi za…

8 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
ACCC yadai Coles ilidai ilipunguza bei- lakini haikufanya hivyo
ACCC yadai Coles ilidai ilipunguza bei- lakini haikufanya hivyo

Shirika la uangalizi la watumiaji la Australia, lina fungulia mashtaka duka la Coles katika mahakama ya shirikisho.

8 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Mshtakiwa wa mauaji ya Bondi afikishwa mahakamani
Taarifa ya Habari: Mshtakiwa wa mauaji ya Bondi afikishwa mahakamani

Mwanaume ambaye ame shtumiwa kwa kushiriki katika shambulizi laki gaidi katika fukwe ya Bondi, amefikishwa mahakamani.

8 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Yaliyojiri Afrika: Upinzani dhidi ya kampuni za USA kupata madini ya DRC waongezeka
Yaliyojiri Afrika: Upinzani dhidi ya kampuni za USA kupata madini ya DRC waongezeka

Upinzani dhidi ya mpango waku ruhusu kampuni za Marekani kupata madini muhimu nchini Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, una ongezeka baada ya Rais Tshi…

8 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari: Sussan Ley astaafu kutoka siasa
Taarifa ya Habari: Sussan Ley astaafu kutoka siasa

Kiongozi wa upinzani wa kwanza wa kike nchini Australia Sussan Ley ametangaza kuwa amestaafu kutoka siasa.

8 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us