Podcast Episodes

Back to Search
Maumivu ya wanawake kutiliwa maanani zaidi
Maumivu ya wanawake kutiliwa maanani zaidi

Serikali ya Victoria imetoa ripoti ya mwisho ya uchunguzi kuhusiana na uzoefu wa wanawake katika suala la maumivu - na ni taarifa inayosumbua kusoma.…

7 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Maandamano ya kikundi cha NSN uliwezaje kuruhusiwa kufanyika
Maandamano ya kikundi cha NSN uliwezaje kuruhusiwa kufanyika

Maandamano ya neo-Nazi mbele ya bunge la New South Wales yamezua mshtuko katika jamii za Kiyahudi na za tamaduni mbalimbali huko Sydney. Serikali ya …

7 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Mazungumzo kuhusu African Youth Summit 2025
Mazungumzo kuhusu African Youth Summit 2025

Mkutano wa kwanza wa African Youth Summit uliandaliwa na kufanyika mwaka huu, na mratibu wa vijana aliyehudhuria anajiunga nasi kuzungumzia mada ya m…

7 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Idadi ya watoto wa mataifa ya kwanza gerezani yazua tashwishi
Idadi ya watoto wa mataifa ya kwanza gerezani yazua tashwishi

Serikali ya majimbo na maeneo nchini Australia zitachunguzwa kama sehemu ya uchunguzi wa bunge kuhusu matokeo na athari za kifungo kwa vijana. Kati y…

8 months ago

Short Long
View Episode
Serikali kudhibiti mitandao ya kijamii kuanzia desemba
Serikali kudhibiti mitandao ya kijamii kuanzia desemba

Mtandao wa Reddit na jukwaa la Kick zitaongezwa kwenye majukwaa yanayohitajika kuzuia watumiaji walio na umri chini ya miaka 16, sheria mpya zitakapo…

8 months ago

Short Long
View Episode
Viza ya milioni moja kutolewa nchini Australia
Viza ya milioni moja kutolewa nchini Australia

Australia inatarajia kutoa kibali cha kila kudumu ama permanent humanitarian visa , cha milioni moja tangu kumalizika kwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia m…

8 months ago

Short Long
View Episode
Mfumo wa utoaji wa mayai ya uzazi Australia huenda ukabadilika
Mfumo wa utoaji wa mayai ya uzazi Australia huenda ukabadilika

Mahitaji ya mayai ya uzazi yanaongezeka nchini Australia kadiri watu wanavyokumbwa na changamoto za uzazi. Lakini mahitaji ya mayai ni makubwa mno ku…

8 months ago

Short Long
View Episode
Afya ya akili:kupata usaidizi kama mhamiaji
Afya ya akili:kupata usaidizi kama mhamiaji

Wahamiaji wengi wanakumbana na matatizo tofauti wanapojaribu kupata msaada wa afya ya akili. Umoja wa Mataifa unasema kwamba upatikanaji wa huduma za…

8 months ago

Short Long
View Episode
Jamii ya Sudan walio Australia waendelea kuwa na wasiwasi

Jamii ya watu wa Sudan walio nchini Australia wana wasiwasi mkubwa ,wakisubiri habari kutoka kwa familia zao walionaswa katika jiji la Al-Fasher baad…

8 months ago

Short Long
View Episode
Umaskini wa nishati

Maelfu ya kaya za Wenyeji kaskazini mwa Australia wanaishi na mfumo wa kulipa kabla wa umeme, ambapo kukatwa kunaweza kutokea wakati wowote. Ripoti m…

8 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us