Podcast Episodes

Back to Search
Uchunguzi wa kizazi ambao unaweza okoa maisha yako

Saratani ya Kizazi inaweza zuiliwa, kama ina gunduliwa mapema.

10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 9 Septemba 2025

Dau Akouny, mmoja wa wavulana wawili walio uawa katika shambulizi la kisu mjini Melbourne wikiendi iliyopita, amekumbukwa na familia yake kama "mtoto…

10 months ago

Short Long
View Episode
Mpango wakupiga jeki idadi ya walimu wa ufundi kushughulikia uhaba wa ujuzi nchini Australia

Serikali ya shirikisho imetangaza mpango wenye thamani ya $30 milioni, kupiga jeki idadi ya wakufunzi wa elimu ya ufundi.

10 months ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 5 Septemba 2025

Waziri wa mambo ya tamaduni nyingi Anne Aly, amechangia ujumbe wa mshikamano na jumuiya yawa Hindi wa Australia, kufuatia maandamano dhidi ya wahamia…

10 months ago

Short Long
View Episode
SBS Learn Eng Ep 94 Zungumza kuhusu autism

Je, unajua jinsi ya kuzungumza kuhusu autism?

10 months ago

Short Long
View Episode
Serikali ya hamasishwa ikabiliane na ongezeko la itikadi kali za mrengo wa kulia

Wanasiasa wame laani ubaguzi wa rangi na chuki dhidi ya wageni iliyo onyeshwa katika maandamano kadhaa dhidi ya uhamiaji wikiendi iliyo pita.

10 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 2 Septemba 2025

Mbunge wa upinzani Matt Canavan amesema sera za uhamiaji za seriakli, zina wasukumu watu kuwa na maoni yenye misimamo mikali. Amesema serikali ya Lab…

10 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Rwanda na DR Congo zakubali kuwarejesha wakimbizi makwao

Shirika la UNHCR limesema viongozi wa Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekubali kuwarejesha wakimbizi walio toroka makwao mashariki mwa …

10 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Maelfu waandamana dhidi ya uhamiaji, huku wa Nazi waki chochea vurugu

Wimbi la maandamano ya kitaifa dhidi ya uhamiaji yame shuhudiwa katika miji mikubwa ya Australia.

10 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Taarifa ya Habari 29 Agosti 2025

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema Richard Marles alikuwa na mkutano wenye tija na mshiriki wake kutoka Marekani Pete Hegseth, huku kukiwa mkangany…

10 months, 1 week ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us