Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 29 Agosti 2025
Published 10 months, 1 week ago
Description
Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema Richard Marles alikuwa na mkutano wenye tija na mshiriki wake kutoka Marekani Pete Hegseth, huku kukiwa mkanganyiko kuhusu kama, kuna mkutano rasmi ulio fanyika kati yao.