Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 16 Juni 2025
Published 1 year ago
Description
Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema mazungumzo kati yake na mshiriki wake kutoka Canada katika mkutano wa G7, ilikuwa fursa yaku imarisha tena uhusiano kati ya nchi hizo mbili.