Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 13 Juni 2025
Published 1 year ago
Description
Balozi wa zamani wa Australia nchini Marekani, Arthur Sinodinos, amesema mkataba wa AUKUS unastahili kuwa kipaumbele kikuu katika mkutano kati ya Waziri Mkuu Anthony Albanese na Rais wa Marekani Donald Trump.