Episode Details
Back to EpisodesSocceroos wafuzu kucheza katika Kombe la Dunia baada ya kuishinda Saudi Arabia
Published 1 year ago
Description
Wiki hii timu ya mpira wa miguu ya taifa Socceroos, ili fuzu kwa Kombe la Dunia tena baada yakupata ushindi dhidi wenyeji wao Saudi Arabia.