Podcast Episodes
Back to Search
Mungu Ameshaandaa Jibu la Kesho Yako!
Season 3 Episode 22
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 9:16 tunaona jambo ambalo Sauli mwenyewe hakulijua. Wakati bado yuko njiani akitafuta punda wa baba ya…
2 months, 1 week ago
Kile Ulichopoteza Kinaweza Kukupeleka Kwenye Kusudi Lako!
Season 3 Episode 21
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 9:6 tunaanza safari ya Sauli kwa tukio linaloonekana la kawaida kabisa. Punda wa baba yake wamepotea n…
2 months, 1 week ago
Usipuuze Maonyo ya Mungu Kwa Sababu Tu Hayafanani na Matamanio Yako!
Season 3 Episode 20
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 8:18–19 tunaendelea kuona hatari ya kutamani jambo mpaka tusitake tena kusikia kile Mungu anachosema. …
2 months, 1 week ago
Waisraeli Walipotamani Kile Wasichokihitaji!
Season 3 Episode 19
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 8:6–7 tunafika katika hatua muhimu katika historia ya Israeli. Waisraeli wanamtaka mfalme ili wawe “ka…
2 months, 1 week ago
Si Kila Siku Ni Muujiza, Lakini Kila Siku Inahitaji Uaminifu
Season 3 Episode 18
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 7:15–17 tunamwona Samweli baada ya ushindi mkubwa wa Israeli dhidi ya Wafilisti. Ameweka jiwe la Ebene…
2 months, 1 week ago
Hata Sasa Bwana Ametusaidia!
Season 3 Episode 17
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 7:12 tunafika katika wakati wa ushindi baada ya Israeli kumrudia Mungu. Samweli anasimamisha jiwe na k…
2 months, 1 week ago
Huwezi Kumtumikia Mungu kwa Moyo Uliogawanyika!
Season 3 Episode 16
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 7:3 tunamwona Samweli akiwaita Waisraeli warudi kwa Mungu baada ya miaka ya kupotea. Lakini kurudi kwa…
2 months, 2 weeks ago
Usimzoee Mungu Mpaka Ukasahau Utakatifu Wake!
Season 3 Episode 15
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 6:20 tunakutana na swali zito: “Ni nani awezaye kusimama mbele za Bwana, huyu Mungu mtakatifu?” Baada …
2 months, 2 weeks ago
Israeli Walishindwa, Lakini Mungu Hakushindwa!
Season 3 Episode 14
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 5:3–4 tunaendelea na simulizi ya Sanduku la Agano baada ya kutekwa na Wafilisti. Wanalichukua na kuliw…
2 months, 2 weeks ago
Unaweza Kuwa na Dini Lakini Ukakosa Uwepo wa Mungu!
Season 3 Episode 13
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo kupitia 1 Samweli 4:21–22 tunakutana na moja ya nyakati nzito katika historia ya Israeli. Taifa limeshindwa vitani, Sand…
2 months, 2 weeks ago