Podcast Episodes

Back to Search
Israeli Walishindwa, Lakini Mungu Hakushindwa!
Israeli Walishindwa, Lakini Mungu Hakushindwa!

Season 3 Episode 14

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 5:3–4 tunaendelea na simulizi ya Sanduku la Agano baada ya kutekwa na Wafilisti. Wanalichukua na kuliw…

2 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Unaweza Kuwa na Dini Lakini Ukakosa Uwepo wa Mungu!
Unaweza Kuwa na Dini Lakini Ukakosa Uwepo wa Mungu!

Season 3 Episode 13

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 4:21–22 tunakutana na moja ya nyakati nzito katika historia ya Israeli. Taifa limeshindwa vitani, Sand…

2 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Usitafute Baraka Pekee, Tafuta Uwepo wa Mungu!
Usitafute Baraka Pekee, Tafuta Uwepo wa Mungu!

Season 3 Episode 12

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 3:19 tunaona Samweli akiendelea kukua na kuingia katika kusudi lake kama nabii. Lakini Biblia inatuony…

2 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Acha Kuzungumza Tu, Jifunze Kumsikiliza Mungu!
Acha Kuzungumza Tu, Jifunze Kumsikiliza Mungu!

Season 3 Episode 11

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 3:9–10 tunafika katika moja ya nyakati muhimu sana katika maisha ya Samweli: Mungu anamwita kwa jina. …

2 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Kumuheshimu Mungu ni Njia ya Kwenda Mbele!
Kumuheshimu Mungu ni Njia ya Kwenda Mbele!

Season 3 Episode 10

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 2:30 tunaingia katika simulizi ya familia ya Eli na kukutana na kanuni nzito kutoka kwa Mungu: “Wale w…

2 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Mungu Anakuandaa Kupitia Ukuaji wa Taratibu.
Mungu Anakuandaa Kupitia Ukuaji wa Taratibu.

Season 3 Episode 9

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo simulizi linahamia kwa Samweli kupitia 1 Samweli 2:26. Kabla hajawa nabii mkubwa tunayemjua baadaye, Biblia inatuonyesha…

2 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Mungu Bado Anaandika Sura za Hadithi ya Maisha Yako
Mungu Bado Anaandika Sura za Hadithi ya Maisha Yako

Season 3 Episode 8

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na wimbo wa Hana kupitia 1 Samweli 2:6–8. Hana anaposema kwamba Bwana hushusha na kuinua, hufukarisha na kut…

2 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Mungu Hupima Moyo Wako na Sio Mafanikio Yako!
Mungu Hupima Moyo Wako na Sio Mafanikio Yako!

Season 3 Episode 7

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na wimbo wa Hana kupitia 1 Samweli 2:3. Baada ya Mungu kubadilisha maisha yake, Hana angeweza kutumia ushind…

2 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Usiishie Kupokea Baraka, Mjue Mtoa Baraka!
Usiishie Kupokea Baraka, Mjue Mtoa Baraka!

Season 3 Episode 6

Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaanza wimbo wa Hana kupitia 1 Samweli 2:1–2. Baada ya kusubiri kwa uvumilivu, kupokea muujiza na kumrudishia Mungu Samwe…

2 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Subiri kwa Amani, Kisha Mpe Mungu Utukufu!
Subiri kwa Amani, Kisha Mpe Mungu Utukufu!

Season 3 Episode 5

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunahitimisha simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:27–28. Baada ya kusubiri kwa imani na kupokea amani kabla ya jibu, Ha…

2 months, 4 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us