Podcast Episodes
Back to Search
Mungu Hukupa Amani Kwanza Kabla ya Majibu!
Season 3 Episode 3
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaendelea na simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:17. Baada ya kumimina moyo wake mbele za Mungu, Hana anapokea maneno…
2 months, 4 weeks ago
Maombi Yanaweza Kubadili Historia.
Season 3 Episode 2
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaendelea na simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:10–11. Akiwa na uchungu mkubwa moyoni, Hana hakukata tamaa wala haku…
2 months, 4 weeks ago
Ni Mungu Pekee!
Season 3 Episode 1
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaanza simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:1–8. Hana alikuwa akipendwa sana na Elkana, lakini bado moyo wake ulikuwa …
3 months ago
Safari ya Ruth! Kutoka Machozi Hadi Ukoo wa Mfalme!
Season 2 Episode 16
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunahitimisha kitabu cha Ruthu kupitia Ruthu 4:16–22. Naomi, ambaye aliwahi kurudi Bethlehemu akiwa amevunjika moyo na k…
3 months ago
Vipi Kama Utapoteza Kila Ulichonacho?
Season 2 Episode 15
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:15. Wanawake wa Bethlehemu wanamwambia Naomi kwamba Mungu amemletea mto…
3 months ago
Inakuwaje Tunapohisi Mungu Ametusahau Kabisa?
Season 2 Episode 14
Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:14. Wanawake wa Bethlehemu wanamsifu Mungu kwa sababu hakumwacha Naomi bila mkombozi. Yule aliye…
3 months ago
Mungu Hasahau Ahadi Zake!
Season 2 Episode 13
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaelekea katika kilele cha simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:13. Baada ya safari ndefu ya maumivu, kusubiri na uaminif…
3 months ago
Unaweza Kufanikiwa Bila Njia za Mkato
Season 2 Episode 12
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 3:18. Naomi anamwambia Ruthu asubiri kwa utulivu, kwa sababu Boazi hatapu…
3 months ago
Tulia, Muache Mungu Atende!
Season 2 Episode 11
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 3:9–13. Ruthu alifanya sehemu yake kwa utii, na Boazi akathibitisha nia y…
3 months ago
Utiifu wa Ruthu na Siri ya Pumziko
Season 2 Episode 10
🎙️ Leo kwenye Neno la Leo
Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 3:1–5. Naomi anamweleza Ruthu kwamba wakati umefika wa kutafuta pumziko, …
3 months, 1 week ago