Episode Details

Back to Episodes
Vipi Kama Utapoteza Kila Ulichonacho?

Vipi Kama Utapoteza Kila Ulichonacho?

Season 2 Episode 15 Published 3Β months ago
Description

πŸŽ™οΈ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:15. Wanawake wa Bethlehemu wanamwambia Naomi kwamba Mungu amemletea mtoto ambaye atamrejeshea uhai na kumtunza katika uzee wake. Kupitia Ruthu, Mungu hakurejesha tu kile ambacho Naomi alikuwa amepoteza, bali alimpa tumaini jipya, furaha mpya na sababu mpya ya kuishi. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba urejesho wa Mungu hauishii kurudisha tulichopoteza, bali mara nyingi hutuzawadia zaidi ya tulivyowahi kufikiria. Je, kuna eneo la maisha yako linalohitaji mguso wa Mungu wa urejesho? Mungu aliyebadilisha maisha ya Naomi bado anatenda hata leo.

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. πŸ™πŸ“–βœ¨

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us