Podcast Episodes

Back to Search
Simulizi ya Ehudi: Vipi Kama Udhaifu Wako Ndiyo Silaha Yako?
Simulizi ya Ehudi: Vipi Kama Udhaifu Wako Ndiyo Silaha Yako?

Season 1 Episode 13

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaanza simulizi ya Ehudi kupitia Waamuzi 3:12–30. Mungu alimwinua mtu ambaye wengi wasingemchagua kuwa mkombozi wa Isr…

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Simulizi ya Debora: Je, Hofu Inakuzuia Kutimiza Kusudi la Mungu?
Simulizi ya Debora: Je, Hofu Inakuzuia Kutimiza Kusudi la Mungu?

Season 1 Episode 12

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaanza simulizi ya Debora kupitia Waamuzi 4. Mungu anamwinua Debora kuwa nabii na mwamuzi wa Israeli, huku akimwita Ba…

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Kuna Ukombozi katika Udhaifu: Safari ya Mwisho ya Samsoni.
Kuna Ukombozi katika Udhaifu: Safari ya Mwisho ya Samsoni.

Season 1 Episode 11

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunahitimisha simulizi ya Samsoni kupitia Waamuzi 16:28–30. Baada ya kuanguka na kupoteza kila kitu, Samsoni alimrudia M…

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Uchovu wa Kiroho na Anguko la Samsoni.
Uchovu wa Kiroho na Anguko la Samsoni.

Season 1 Episode 10

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Samsoni kupitia Waamuzi 16:19–21. Baada ya kupuuza maonyo ya Mungu kwa muda mrefu, Samsoni al…

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Unapocheza Karibu na Majaribu, Unakaribisha Anguko Lako!
Unapocheza Karibu na Majaribu, Unakaribisha Anguko Lako!

Season 1 Episode 9

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Samsoni kupitia Waamuzi 16:4–9. Tunashuhudia jinsi Delila alivyoanza polepole kutafuta siri y…

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Hakuna Asiye na Mapungufu: Hata Wateule wa Mungu Hupungukiwa!
Hakuna Asiye na Mapungufu: Hata Wateule wa Mungu Hupungukiwa!

Season 1 Episode 8

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Samsoni kupitia Waamuzi 14 hadi 15:19. Tunashuhudia jinsi Mungu alivyoendelea kutimiza kusudi…

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Nini Cha Kufanya Wakati Mungu Anafanyia Kazi Maombi Yetu?
Nini Cha Kufanya Wakati Mungu Anafanyia Kazi Maombi Yetu?

Season 1 Episode 7

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaanza simulizi ya Samsoni kutoka Waamuzi 13:3–5. Kabla hajazaliwa, Mungu alikuwa tayari amemchagua na kumwekea kusudi…

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Kwa Nini Mungu Huacha Utaabike? Nini cha Kufanya?
Kwa Nini Mungu Huacha Utaabike? Nini cha Kufanya?

Season 1 Episode 6

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunatafakari Waamuzi 10:6–8 na 10:15–16. Waisraeli walipoanza kumwacha Mungu na kufuata miungu mingine, walivuna matokeo…

4 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Je, Imani Yako Ni Yako Kweli? Au Umeazima?
Je, Imani Yako Ni Yako Kweli? Au Umeazima?

Season 1 Episode 5

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunatafakari Waamuzi 8:33–34. Baada ya kifo cha Gideoni, Waisraeli walimsahau Mungu na kurudia njia zao za zamani. Kupit…

4 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Pale Tunapobaki na Mungu Peke Yake!
Pale Tunapobaki na Mungu Peke Yake!

Season 1 Episode 4

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunatafakari simulizi ya Gideoni na jeshi la watu 300 kutoka Waamuzi 7:1–8. Mungu alipunguza jeshi la Israeli ili ushind…

4 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us