Episode Details

Back to Episodes
Ni Mungu Pekee!

Ni Mungu Pekee!

Season 3 Episode 1 Published 3Β months ago
Description

πŸŽ™οΈ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaanza simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:1–8. Hana alikuwa akipendwa sana na Elkana, lakini bado moyo wake ulikuwa umebeba maumivu ambayo hakuna mwanadamu angeweza kuyaponya. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba kuna mahitaji ya ndani ambayo hayawezi kutimizwa na upendo wa watu, mafanikio au mali, bali na Mungu pekee. Je, tunampelekea Mungu kilio cha mioyo yetu, au tunatafuta utimilifu katika vitu ambavyo haviwezi kujaza pengo la nafsi yetu?

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. πŸ™πŸ“–βœ¨

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us