Podcast Episodes

Back to Search
Fanya Unachoweza, Mungu Atashughulikia Usichoweza
Fanya Unachoweza, Mungu Atashughulikia Usichoweza

Season 3 Episode 42

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 17:47 tunaendelea pale tulipoishia jana. Daudi amemwambia Goliathi, “Ninakujia kwa jina la Bwana.” Sas…

1 month, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Kwa Jina la Bwana!
Kwa Jina la Bwana!

Season 3 Episode 41

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 17:45 tunafika katika moja ya kauli zenye nguvu zaidi katika simulizi ya Daudi na Goliathi. Goliathi a…

1 month, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Usijaribu Kuwa Mtu Mwingine!
Usijaribu Kuwa Mtu Mwingine!

Season 3 Episode 40

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 17:38–40 tunaendelea na simulizi ya Daudi kuelekea kwa Goliathi. Baada ya Sauli kukubali Daudi aende k…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Kumbuka Mungu Alivyokusaidia Zamani!
Kumbuka Mungu Alivyokusaidia Zamani!

Season 3 Episode 39

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 17:34–37 tunagundua siri ya ujasiri ambao Daudi alionyesha jana. Sauli anamwangalia Daudi na kuona kij…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Usingoje Kila Mtu Aamini Ndipo Wewe Uamini!
Usingoje Kila Mtu Aamini Ndipo Wewe Uamini!

Season 3 Episode 38

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 17:32 tunafunga wiki yetu ya kwanza ya Septemba tukiwa tumemfuata Daudi kutoka malishoni mpaka sasa am…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Usiruhusu Maneno ya Watu Yazuie Kufikia Malengo Yako!
Usiruhusu Maneno ya Watu Yazuie Kufikia Malengo Yako!

Season 3 Episode 37

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 17:28–29 tunaendelea na simulizi ya Daudi na Goliathi. Jana tuliona Daudi akiitazama changamoto kwa ma…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Usimfanye Goliathi Wako Kuwa Mkubwa Kuliko Mungu
Usimfanye Goliathi Wako Kuwa Mkubwa Kuliko Mungu

Season 3 Episode 36

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 17:26 tunaingia katika moja ya simulizi zinazojulikana zaidi katika Biblia, simulizi ya Daudi na Golia…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Mungu Akifungua Mlango, Atakukuta Uko Tayari?
Mungu Akifungua Mlango, Atakukuta Uko Tayari?

Season 3 Episode 35

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 16:18 tunaendelea na simulizi ya Daudi. Jana tulimwona akipakwa mafuta lakini bado hakwenda moja kwa m…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Ruhusu Mungu Akutengeneze.
Ruhusu Mungu Akutengeneze.

Season 3 Episode 34

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 16:13 tunaendelea na simulizi ya Daudi. Jana tulimwacha malishoni, mahali ambapo watu hawakumfikiria l…

1 month, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Usidharau Mahali Ulipo Sasa!
Usidharau Mahali Ulipo Sasa!

Season 3 Episode 33

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo kupitia 1 Samweli 16:11 tunaendelea na safari tuliyoanza jana. Samweli amefika nyumbani kwa Yese kumpaka mafuta mfalme m…

1 month, 4 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us