Podcast Episodes

Back to Search
Sudan : Amnesty International yasema rsf ilikiuka sheria El fasher

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeangazia namna gani wapiganaji wa rsf walikiuka sheria wakati wakiteka mji…

3 months ago

Short Long
View Episode
Haki za wakimbizi awamu ya pili

Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili  Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization …

3 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
EAC : Haki za wakimbizi duniani

Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization…

3 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya

Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja.

Sikiliza mak…

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti

Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa …

4 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
KENYA: Dhulma wanazopitia kina mama mtaani Mathare

Katika makala ya Jua Haki zako, tiunazumgumza na waathiriwa waili wa ukatili wajinsia katika mtaa wa Mathare, Benedicta Musalizi na Cathrene Maina pa…

4 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Kenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8

Mzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi nd…

4 months, 3 weeks ago

Short Long
View Episode
Siku ya Mama duniani, je unamtambua mama

Kila mwezi mei dunia huduadimisha siku ya mama duniani, je unatambua mchango wa mama duniani.

Skiza  makala haya kufahamu mengi skiza makala haya

5 months ago

Short Long
View Episode
Kenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala

Kila mwezi Mei dunia huadimsha siku ya uhuru wa nyombo vya habari na wanahabari.

Katika makala haya tunaangazia changamoto wanazopitia wanahabari wak…

5 months, 1 week ago

Short Long
View Episode
Reuben Kigame na harakati zake kupigia haki

Msanii Reuben Kigame anafafanua harakati zake za kisiasa na ndoto yake kuongoza Kenya.

Skiza makala haya kufahamu mengi zaidi.

5 months, 2 weeks ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us