Episode Details
Back to EpisodesHaki za wakimbizi awamu ya pili
Published 3 months, 1 week ago
Description
Awamu ya pili makala haya yanaendelea kuangazia haki za wakimbizi mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki hizo.
Skiza kufahamu mengi.