Episode Details
Back to EpisodesKenya : Uhuru wa wanahabari si mjadala
Published 5 months, 1 week ago
Description
Kila mwezi Mei dunia huadimsha siku ya uhuru wa nyombo vya habari na wanahabari.
Katika makala haya tunaangazia changamoto wanazopitia wanahabari wakati wakitekeleza majukumu yao.