Episode Details
Back to EpisodesKenya: Haki ya wanamziki chipukizi ndani ya Eleve8
Published 4 months, 3 weeks ago
Description
Mzalishaji wa muziki nchini Kenya Motive Di Don kwa ushirikiano na benko moja nchini humo wameanzisha ushirikiano wa kuwasaidia wanamziki chipkizi ndani ya mradi wa Eleve8.
Skiza makala haya kufahamu mengi.