Episode Details

Back to Episodes

Kenya: Harakati za kupambana na mimba za utotoni zapata sura mpya

Published 4 months, 1 week ago
Description

Lydia Mwende mwanamitindo na mwanaharakati ni mchanga ambaye amejitokeza kupinga mimba wa utotoni nchini na pia kulelewa na mzazi mmoja.

Sikiliza makala haya kufahamu msimamo wa Mwende.

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us