Episode Details

Back to Episodes

Kenya : Ukatili wa kijinsia kizungu mkuti

Published 4 months, 1 week ago
Description

Wanawake wanaotetea haki za kijinsia katika eneo la Pwani nchini Kenya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya ukatili wa kijinsia, wakisema ukosefu wa elimu kuhusu haki za waathiriwa unawazuia wengi kupata haki.

wanaharakati hao wanasema hali hiyo imechangia wahusika wa vitendo vya ubakaji, ulawiti na unyanyasaji wa kingono kuendelea kutenda makosa bila kuwajibishwa.

Skiza makala haya kufahamu mengi.

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us