Episode Details
Back to EpisodesEAC : Haki za wakimbizi duniani
Published 3 months, 3 weeks ago
Description
Kila Juni 20 dunia huadhimisha siku ya wakimbizi duniani, juma hili mawakili Maasai Mutune na Rajab Membe, kutoka shirika la Refugee Led Organization Network nchini Kenya, wanajadili haki za wakimbizi.
Skiza makala haya kufahamu mengi.