Podcast Episodes

Back to Search
Mchakato wa uchaguzi mkuu wa mei 2027 nchini Burundi

Nchi nyingi zinajiandaa kwa uchaguzi mkuu wa urais mwaka ujao; makala hii inaangazia mchakato wa uchaguzi unavyoendelea nchini Burundi, ambapo hivi k…

3 days, 2 hours ago

Short Long
View Episode
Umoja wa Mataifa wamaliza shughuli zake nchini Somalia

Kuanzia mwishoni  mwa mwezi Oktoba mwaka 2026, Umoja wa Mataifa ulitangaza  kumalizika rasmi  kwa shughuli  zake za kisiasa na msaada nchini Somalia …

1 week, 2 days ago

Short Long
View Episode
Fursa ya maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania baada ya hukumu ya Tundu Lissu

Novemba tarehe 6, Mahakama Kuu jijini Dar es salaam nchini Tanzania, ilimhukumu miaka minne jela Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA, Tundu Liss…

2 weeks, 3 days ago

Short Long
View Episode
Vitendo vya wakosoaji wa watawala Afrika Mashariki kutekwa nchini Kenya

Kwa miaka mingi, Kenya imekuwa kama kimbilio kwa wanasisasa wa upinzani na wanaharakati wanaokimbia mataifa yao katika nchi za Afrika Mashariki na Ka…

3 weeks, 2 days ago

Short Long
View Episode
Uganda: Mazungumzo kuhusu hatima ya Kizza Besigye

Waziri wa masuala ya Katiba nchini Uganda Norbert Mao, ametangaza kuwepo kwa mazungumzo ili kupata ufumbuzi wa kuendelea kuzuiwa kwa mwanasiasa  mkon…

1 month ago

Short Long
View Episode
DRC: Kabila aungana na M23 kuunda vuguvugu jipya la kisiasa na kijeshi

Baada ya kuongoza nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa karibu miaka 20, rais wa zamani Joseph Kabila, ameungana na waasi wa M23 Mashariki mwa…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
Hali ya siasa nchini Kenya mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga

Ni mwaka mmoja, tangu kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya na kiongozi wa muda mrefu wa upinzani Raila Odinga. Kufariki kwake dunia, tarehe 15 mwe…

1 month, 1 week ago

Short Long
View Episode
Chanzo cha kuzuka kwa vita vipya Kaskazini mwa Ethiopia

Tangu tarehe 23 Septemba, mapigano mapya yameendelea kushuhudiwa Kaskazini mwa Ethiopia, kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa Tigray. Nini ki…

1 month, 2 weeks ago

Short Long
View Episode
Suluhu ya njiapanda ya kisiasa nchini Sudan Kusini

Sudan Sudan inakabiliwa na mzozo wa kikatiba na kisiasa, kuelekea uchaguzi mkuu wa kwanza, uliopangwa kufanyika tarehe 22 mwezi Disemba mwaka huu. Ra…

1 month, 4 weeks ago

Short Long
View Episode
Kenya: Kwanini rais Ruto na mtangulizi wake wanatupiana maneno ?

Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya mwaka 2027, vita vya maneno kati ya rais William Ruto na mtangulizi wake, Uhuru Kenya zimeshika kasi. Nini chanzo…

2 months ago

Short Long
View Episode

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us