Episode Details

Back to Episodes

Umoja wa Mataifa wamaliza shughuli zake nchini Somalia

Published 1 week, 2 days ago
Description

Kuanzia mwishoni  mwa mwezi Oktoba mwaka 2026, Umoja wa Mataifa ulitangaza  kumalizika rasmi  kwa shughuli  zake za kisiasa na msaada nchini Somalia baada ya miaka zaidi ya 30. Mwaka 2024 serikali ya Somalia iliomba kufungwa kwa ujumbe huo. Hatua hii inamaanisha nini kisiasa na kiusalama kwa nchi ya Somalia ? Tunachambua.

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us